Mark 16:9-11

9 aIsa alipofufuka alfajiri na mapema siku ya kwanza ya juma alimtokea kwanza Maria Magdalene, yule ambaye alikuwa amemtoa pepo wachafu saba. 10 bMaria akaenda, naye akawaambia wale waliokuwa wamefuatana na Isa, waliokuwa wanaomboleza na kulia. 11 cLakini waliposikia kwamba Isa yu hai na kwamba Maria alikuwa amemwona, hawakusadiki.

Isa Awatokea Wanafunzi Wawili

(Luka 24:13-35)

Copyright information for SwhKC